1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sare za shule China zawekewa GPS kuwafutilia wanafunzi

Grace Kabogo
15 Januari 2019

China imeanzisha sare za shule zenye chip zinazofatilia mwenendo wa wanafunzi kwa lengo la kukabiliana na wanafunzi wanaotoroka masomo. Ungana na Sylvia Mwehozi anakufafanulia zaidi katika kipindi cha Sema Uvume.

https://p.dw.com/p/3Baq7