1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda yaadhimisha siku ya Uhuru wa Habari nchini

3 Mei 2019

Waandishi wa Habari nchini Uganda wametumia siku ya kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari kulaani visa vya unyanyasaji kwa wanahabari na vyombo vya habari. Mwandishi wetu wa Kampala, Lubega Emmanuel ndiyo ametukusanyia yaliyojiri leo 03.05.2019.

https://p.dw.com/p/3Htn3