Uganda: shule ya ukulima wa mapasheni | Mada zote | DW | 27.12.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Uganda: shule ya ukulima wa mapasheni

Ukulima ni kazi inayofanywa zaidi na wanawake nchini Uganda. Mradi wa KadAfrica umeamua kutoa mafunzo ya miezi sita ya kumuwezesha mwanamke kuwa mkulima wa tunda la pasheni. Eric Kaduru na mke wake Rebecca ni waanzilishi wa mradi huo.

Tazama vidio 03:34
Sasa moja kwa moja
dakika (0)