1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Mwanamke bingwa wa Safari Rally

11 Oktoba 2019

Susan Muwonge ndiye mwanamke pekee wa Afrika ambaye amewahi kushinda mbio za kitaifa za magari (Safari rally)nchini Uganda mara mbili. Kwenye mchezo huo ambao hutawaliwa na wanaume, amekuwa kidedea. Je siri yake ni gani?

https://p.dw.com/p/3R7gs