Uganda: Mabinti waliobeba mimba wapewa nafasi mpya ya elimu | Media Center | DW | 19.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Uganda: Mabinti waliobeba mimba wapewa nafasi mpya ya elimu

Shule moja nchini Uganda imeongoza njia kwa kuwapa fursa mpya wasichana wa shule waliojifungua. Wasichana hao wanakwenda darasani na wanafunzi wengine, huku shule ikiajiri yaya wa kuwashughulikia watoto wao. Ni ripoti iliyoandaliwa na mwandishi wetu wa Kampala, Lubega Emmanuel.

Tazama vidio 02:44
Sasa moja kwa moja
dakika (0)