Uganda: Fred Batale mlemavu anawasaidia walemavu wenzake kujikwamua kiuchumi | Anza | DW | 18.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Uganda: Fred Batale mlemavu anawasaidia walemavu wenzake kujikwamua kiuchumi

Nchini Uganda watu wenye ulemavu wananyanyapaliwa. Lakini Fred Batale aliuchukua ubaguzi huo kama changamoto. Aliamua kuanzisha mradi wa sanaa kwa walemavu Uganda, akiwa na lengo la kuwawezesha watu wenye ulemavu kwa kuwapatia maarifa ya sanaa na ubunifu.

Tazama vidio 03:07