Ufugaji wa majongoo wa baharini Zanzibar | Anza | DW | 20.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Ufugaji wa majongoo wa baharini Zanzibar

Licha ya Zanzibar kuwa ni visiwa vyenye samaki wengi wa aina mbali mbali, si wengi waliokuwa wakijuwa majongoo wa baharini hadi utandawazi uliposaidia kuonesha faida zake kiuchumi na kiafya. Katika video hii iliyotayarishwa na Salma Said, tunaangazia ufugaji wa majongoo ya Pwani faida zake namna ya utengenezaji wake hadi kukamilika kwa matumizi na kuingizwa sokoni.

Tazama vidio 02:06
Sasa moja kwa moja
dakika (0)