1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufugaji wa konokono Kampala, Uganda

Angela Mdungu
4 Machi 2021

Nchini Uganda, ufugaji wa konokono umegeuka baraka walizopata baadhi ya wakazi wa mtaa wa Kiwatule mjini Kampala kutokana na kipindi cha kufungiwa shughuli zao nyingine katika kudhibiti maambukizi ya COVID-19. Video na Emmanuel Lubega.

https://p.dw.com/p/3qDkQ