Uchambuzi wa uchaguzi Zanzibar | Matukio ya Kisiasa | DW | 26.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Uchambuzi wa uchaguzi Zanzibar

Hali visiwani Zanzibar ni tete na hasa kutokana na uzoefu wa chaguzi zilizopita ishara zinatajwa kwamba huenda hatma ya visiwa hivyo ikawa ya mashaka. Msikilize chambuzi wa Kimataifa kutoka London bwana Ahmed Rajab.

Sikiliza sauti 04:44

Sikiliza mahojiano na mchambuzi kutoka London Ahmed Rajab

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com