1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchambuzi kuhusu msimamo wa naibu rais wa Kenya William Ruto

28 Agosti 2020

Mjadala umeibuka Kenya baada ya William Ruto ambaye ni naibu w arais kuhojiwa kuhusiana na masuala kadhaa ikiwemo kuifanyia katiba mageuzi. Alionyesha waziwazi kutofautiana kabisa na kiongozi wa chama chake rais Uhuru Kenyatta.

https://p.dw.com/p/3hdxG

Kauli za Ruto zimejiri mnamo wakati tayari Rais Uhuru Kenyatta amedokeza kuwa ipo haja ya kuifanyia katiba ya nchi hiyo marekebisho. Kauli ambayo imeungwa mkono pia na kiongozi wa upinzani Raila Odinga

Kenia Präsident William Ruto
Picha: Reuters/T. Mukoya

Je kauli zilizotolewa na makamu huyo wa rais William Ruto zinaashiria nini? Saumu MWasimba amezungumza na mchambuzi wa kisiasa Profesa Nyaigoti Chacha. Hebu sikiliza.