1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tshisekedi akutana na viongozi wakuu wa upinzani

28 Desemba 2020

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Félix Tshisekedi Jumapili alikutana na viongozi wawili wa upinzani Moise Katumbi na Jean Pierre Bemba katika juhudi za karibuni kabisa za kuunda serikali ya mseto.

https://p.dw.com/p/3nHdh
DRC Afrika Treffen  Felix Tshisekedi  , Moise Katumbi und Jean Pierre Bemba
Picha: presidential press service of the DRC

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Félix Tshisekedi Jumapili alikutana na viongozi wawili wa upinzani Moise Katumbi na Jean Pierre Bemba katika juhudi za karibuni kabisa za kuunda serikali ya mseto.

Hii ni baada ya kutengana na muungano wa vyama vinavyomuunga mkono mtangulizi wake Joseph Kabila, FCC.