Trump akimbiwa na mshauri mwengine | Media Center | DW | 23.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Trump akimbiwa na mshauri mwengine

Mjumbe mwengine wa safu ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani ameondoka, na safari hii ni mshauri wake wa masuala ya usalama, HR McMaster, ambaye Trump anasema nafasi yake inachukuliwa na mtu mwenye siasa kali na mpendelea vita, John Bolton. Papo kwa Papo 23 Machi 2018.

Tazama vidio 01:08
Sasa moja kwa moja
dakika (0)