1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

John Bolton

John Robert Bolton ni mwanasheria wa nchini Marekani, mchambuzi wa kisiasa, mshauri wa chama cha Republican, mwanadiplomasia wa zamani na mshauri wa 27 wa usalama wa taifa wa Marekani.

Alianza muhula wake kama mshauri mkuu wa usalama wa taifa Aprili 9, 2018. Bolton alihudumu kama balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa kuanzia Agosti 2005 hadi Desemba 2006 kama mteule wa muda wa rais George W. Bush. Alijiuzulu baada ya kukamilika kwa muda wake wa kushikilia nafasi hiyo kwa kuwa hakuwa na uhakika wa kuthibitishwa na baraza la seneti.

Onesha makala zaidi