1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Teknolojia inavyowasaidia wakulima Kenya kuongeza mavuno

Sylvia Mwehozi
18 Januari 2022

Sema Uvume inaiitizama App iliyoanzishwa Kenya ili kuwasaidia wakulima waweze kuboresha kilimo hususan nyakati hizi ambapo mabadiliko ya tabia nchi yamekuwa na athari kubwa.Teknolojia inayotumika inasaidia kutoa mwelekeo wa mavuno utakuwaje na data za kuaminika za hali ya hewa. Kipindi ni Sema Uvume.

https://p.dw.com/p/45gRX