1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taka za plastiki zatengeneza vifaa vya kujikinga na COVID-19

Angela Mdungu
4 Juni 2020

Ni vijana wa kampuni ya Takataka Plastics ya Uganda. Sasa wanatumia takataka zitokanazo na plastiki ambapo wanazichakata na kutengeneza vifaa maalum ambavyo hutumika kujifunika uso kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona.

https://p.dw.com/p/3dG0o