Taasisi ya Goethe Kampala | Anza | DW | 04.01.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Taasisi ya Goethe Kampala

Kituo cha utamaduni ya Ujerumani, Goethe Institut, kinasambaza utamaduni wa Ujerumani kwa kufundisha lugha na kualika jamii kushiriki kwenye shughuli mbalimbali zinazoutambulisha utamaduni na maisha ya Wajerumani.

Sikiliza sauti 09:45

Leyla Ndinda anaanganzia shughuli za kituo hicho cha Goethe mjini Kampala, Uganda.