1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 12.09.2017

Josephat Charo
12 Septemba 2017

Umoja wa Mataifa wapitisha azimio la vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini. Marekani yaitaka Myanmar kukomesha machafuko na mateso dhidi ya Warohingya. Na watu 18 wauawa kwenye shambulizi la kigaidi nchini Misri.

https://p.dw.com/p/2jlmi