1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 10.05.2022

Josephat Charo
10 Mei 2022

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy atoa wito bandari nchini mwake zifunguliwe kuepusha mzozo wa chakula duniani. Marekani yaitisha mkutano wa dharura wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kuijadili Korea Kaskzini. Na Rais mpya wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol kuapishwa leo

https://p.dw.com/p/4B3zN