1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Papa Francis

Jorge Mario Bergoglio alichaguliwa kuwa Papa na mkutano wa Makardinali mwaka 2013, baada ya mtangulizi wake, Papa Benedict, kujiuzulu. Alichaguwa jina lake la Papa katika kumuenzi Mtakatifu Francis wa Assisi.

Alizaliwa mjini Buenos Aires, Argentina in mwaka 1936. Alichaguliwa kuwa Askofu mkuu wa Buenos Aires 1998, na kufanywa kuwa Kardinali mwaka 2001. Francis ndiye papa wa 266 wa Kanisa Katoliki, katika nafasi ambayo inamfanya kuwa askofu mkuu wa Roma na ndiye kiongozi wa juu kabisaa wa taifa dogo la Vatikan. Ndiye papa wa kwanza kutoka mataifa ya Amerika tangu Gregory wa III mwaka 741. Papa Francis amejijengea sifa kutokana na unyenyekevu wake na kuwajali maskini.

Onesha makala zaidi