1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
15 Agosti 2019

https://p.dw.com/p/3NvWO

-China imeunga mkono rai ya Pakistani kutaka mzozo wa India na Kashmir ujadiliwe katika baraza la usalama la umoja wa mataifa.
-Korti moja mjini Roma imetengua amri ya waziri wa mambo ya nchi hiyo kuizuia meli ya wahamiaji kutia nanga.
-Winnie Byanyima kutoka Uganda ateuliwa mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na ukimwi, UNAIDS.