1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki).

Daniel Gakuba
1 Januari 2019

https://p.dw.com/p/3AqD3

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo yakata mawasiliano ya intaneti kuzuia uvumi wa mitandaoni kuhusu matokeo ya uchaguzi.
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un asema nchi yake inaweza kutafakari mtazamo mpya, ikiwa Marekani itaendeleza vikwazo dhidi yake.
Idadi ya watu waliouawa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria, imepungua kwa mara ya kwanza tangu vilipoanza vita hivyo, mwaka 2011.