1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Steinmeier ziarani Kenya, aahidi kuisaidia.

Shisia Wasilwa / MMT24 Februari 2020

Serikali ya Ujerumani imeahidi kufadhili miradi ya elimu na uzalishaji nchini Kenya ili kukabiliana na tatizo ya ajira linalozidi kuongezeka. Ufadhili huo ni wa shilingi bilioni 3.9. Hayo yameelezwa baada ya rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Frank Walter Steimeier wa Ujerumani kutia sahihi mikataba ya ushirikiano wa kibiashara na maendeleo. Shisia Wasilwa kutoka Kenya anasimulia.

https://p.dw.com/p/3YL6E