Spice Diana: Angali atumbuiza licha ya janga la corona | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 11.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Spice Diana: Angali atumbuiza licha ya janga la corona

Janga la corona limesababisha wasanii ulimwenguni kukosa kujumuika na mashabiki wao. Lakini nchini Uganda, wanamuziki wamekataa kunyamazishwa na janga hilo. Kwa kushirikiana na vituo vya televisheni, wanawapa mashabiki burudani kama densi kila wikendi kwa kupeperushwa moja kwa moja kwenye televisheni!

Tazama vidio 02:35