Siku ya Maji Duniani | Anza | DW | 22.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Siku ya Maji Duniani

Ulimwengu unaadhimisha siku ya maji chini ya kauli mbiu ya maliasili kuwa suluhu kwa changamoto zinazotukabili katika karne ya 21. Nishati itokanayo na jua imebainika kuwa yenye gharama nafuu sana na mashirika yanayowahudumia wakimbizi walio katika kambi kaskazini mwa Uganda ambayo yameokoa kiasi kikubwa cha fedha

Tazama vidio 02:42
Sasa moja kwa moja
dakika (0)