Sharleen Amonda atia fora katika Karate | Afrika yasonga mbele | DW | 29.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Afrika yasonga mbele

Sharleen Amonda atia fora katika Karate

Sharleen Amonda ni mchezaji wa karate maarufu zaidi nchini Zimbabwe na anadhamiria kushiriki mashindano ya Olimpiki ya mwaka 2016. Kwa mwanamke huyo wa miaka 27, siku kwake huanza kabla ya mapambazuko.

Tazama vidio 03:13

Sharleen Amoda atia fora katika Karate Zimbabwe

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com