1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shaffique Zziwa: Mwanafunzi mwenye ndoto ya kuunda helikopta

30 Mei 2018

Shaffique Zziwa, mwanafunzi wa sekondari mwenye umri wa miaka 20 kutoka nchini Uganda, ana ndoto ya kuunda helikopta. Tayari ameunda kitu ambacho hajikaweza kuruka bado lakini anaamini siku moja itweza kuruka. Ripota wetu Sadab Kitatta alikutana naye akiwa katika harakati za kufanyia majaribio kazi yake na kutuandalia vidio hii.

https://p.dw.com/p/2yfML