1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume: Siku ya kimataifa ya matumizi salama ya Intaneti

Sylvia Mwehozi
7 Februari 2023

Intaneti imekuwa ni mkombozi bila shaka asiyekwepeka katika nyakati hizi kutokana na matumizi yake kuzidi kushamiri kila eneo la ulimwengu. Intaneti imetusaidia kuwasiliana na wapendwa wetu kwa haraka, kutafuta vitu kwa wepesi pamoja na kusambaza taarifa kwa kasi ya ajabu. Kama mtumiaji wa intaneti tunaweka wazi taarifa zetu binafsi ambazo zinaweza kutumiwa na wahalifu. Ungana na Sylvia Mwehozi...

https://p.dw.com/p/4NB2H