Sema Uvume : Nani anamiliki ′Data′ zako ukifariki? | Media Center | DW | 19.02.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Sema Uvume : Nani anamiliki 'Data' zako ukifariki?

Kuanzia picha hadi ujumbe, wewe kama mtumaiji wa mitandao ya kijamii unaacha alama kubwa za kidijitali ambazo zitadumu milele. Swali la nani atamiliki data pindi mtumiaji anapofariki, limekuwa likijirudia kila mara na kuyapa kibarua kizito makampuni yanayomiliki mitandao ya kijamii. Sylvia Mwehozi anasaka majibu kwenye Sema Uvume

Sikiliza sauti 09:44