1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Cambridge Analytica

Ni kampuni ya ushauri wa kisiasa ya nchini Uingereza ambayo inatumia uchimbaji wa data, udalali wa data na uchambuzi wa data kwa mawasiliano ya kimkakati kwa michakato ya uchaguzi.

Ilianzishwa mwaka 2013 kama tawi la kundi la SCL. Kampuni hiyo inamilikiwa kwa sehemu na familia ya Robert Mercer. meneja wa wakfu wa uwekezaji na muungaji mkono mkubwa wa siasa za kihafidhina. Kampuni hiyo ina ofisi katika miji ya London, Washington na New York. Ukurasa ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Cambridge Analytica.

Onesha makala zaidi