1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kadhia ya udukuzi Ujerumani

Oumilkheir Hamidou14 Januari 2019

Makala ya Sura ya Ujerumani inamulika kisa cha udukuzi kilichofichuliwa siku chache zilizopita nchini Ujerumani na kuwashtuwa watu wa tabaka zote za kijamii na mirengo ya kisiasa. Mtayarishaji na msimulizi ni Oumilkheir.

https://p.dw.com/p/3BW6V