1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Selfie na Merkel yampa Umaarufu

2 Desemba 2021

Wakati maelfu ya Wasyria walipoikimbia nchi yao mwaka 2015 na kuhamia Ujerumani kwa miguu kupitia njia ya Balkan, Angela Merkel alifanya uamuzi ambao utakumbukwa. Hakuwafukuza watu na kufunga mipaka, kama yalivyofanya mataifa mengine ya Umoja wa Ulaya. Alikuwa na huruma, akawakaribisha, kwa msemo maarufu sasa "We can do it!

https://p.dw.com/p/43kvu