Sekta ya Juakali Kenya mtandaoni | Anza | DW | 09.03.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Sekta ya Juakali Kenya mtandaoni

Uchumi wa Kenya una sekta kubwa isiyo rami na isiyodhibitiwa. Inawajumlisha wafanyakazi wenye ujuzi mzuri lakini wasiyo na uwezo wa kujitangaza. Mjasiriamali wa mtandaoni Catherine Gichunge anawasaidia kutafuta kazi.

Tazama vidio 03:18
Sasa moja kwa moja
dakika (0)