Seif Sharif akizungumzia mwenendo wa uchaguzi | Matukio ya Kisiasa | DW | 26.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Seif Sharif akizungumzia mwenendo wa uchaguzi

Mgombea urais wa chama cha CUF Seif Sharrif Hamadi amefanya mkutano na waandishi wa habari mapema leo kuzungumzia mwenendo wa matokeo ya uchaguzi. Zaidi na Mwenzetu Mohammed Khelef

Sikiliza sauti 01:25

Sikiliza mahojiano na Seif Sharif Hamad

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com