1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MuzikiKenya

Sauti Sol - Bendi maarufu kutoka Nairobi

8 Novemba 2022

Iwe ni muziki, filamu au fasihi, kwa bendi ya Sauti Sol, uwakilishi wa uafrika ni muhimu. Bendi hii maarufu nchini Kenya inawakuza waimbaji chipukizi wa Afrika na pia inawapa watoto msukumo kupitia simulizi. Kundi hili la vijana wanne limepitia changamoto nyingi katika miaka ya hivi karibuni ya janga la COVID na sasa linataka kuhakikisha kila mtoto anahisi anakubaliwa.

https://p.dw.com/p/4JDib