Sarafu zisizopendwa na wengi Kenya | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 28.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Sarafu zisizopendwa na wengi Kenya

Je wapenda kutumia pesa aina gani nchini mwako? Noti au sarafu? Nchini Kenya matumizi ya sarafu ya thamani ya chini mfano sumuni, shilingi yamepungua. Na kama anavyosimulia Thelma Mwadzaya kwenye Makala Yetu Leo, sarafu hizo zimetelekezwa na athari zake kwenye mzunguko wa fedha nchini humo.

Sikiliza sauti 09:45