Said Djinit azuru mashariki mwa Kongo | Matukio ya Kisiasa | DW | 25.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Said Djinit azuru mashariki mwa Kongo

Muwakilishi maalumu wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa katika kanda ya maziwa makuu Said Djinit akiandamana na wajumbe wengine wa Umoja wa Afrika, wako Beni kutathmini hali ya mambo.

Sikiliza sauti 02:39

Sikiliza ripoti ya John Kanyunyu

Jinit ameandana pia na wajumbe wa Jumuiya ya kimataifa kwa ajili ya ukanda wa maziwa makuu, mjumbe wa Umoja wa Afrika katika ukanda huu na profesa Alphonse Ntumba Lwaba katibu mtendaji wa ICGLR. Watachunguza na kutathmini vitendo vya kinyama vinavyofannywa na waasi wa Uganda ADF katiak eneo hilo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com