1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaRwanda

Rwanda yakiri kushirikiana na waasi wa M23

26 Januari 2026

Hatimaye Rwanda imevunja ukimya kuhusu moja ya mada zilizotawala mjadala wa usalama katika ukanda wa Maziwa Makuu kwa miaka mingi: uhusiano wake na kundi la waasi la AFC/M23. Kauli kutoka kwa Balozi wa Rwanda nchini Marekani, Mathilde Mukantabana, imeweka wazi kile ambacho kwa muda mrefu kimekuwa kikisemwa na wadau wa kimataifa, lakini Kigali imekanusha vikali.

https://p.dw.com/p/57UJF