1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rushwa yazidi kuitikisa serikali ya Kenyatta

Sudi Mnette
25 Mei 2018

Nchini Kenya kumebainika wizi wa kiasi cha shilingi bilioni 6.3 katika ununuzi wa mahindi na kingine cha bilioni 1.9 katika uuzaji wa mbolea kwa wakulima. Sudi Mnette alizungumza na mchambuzi wa siasa za Kenya, Chekai Musa, ambaye amemuelezea jinsi fedha hizo zilivyochotwa.

https://p.dw.com/p/2yKDv