Rais wa Somalia ziarani Kenya | Matukio ya Afrika | DW | 23.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Diplomasia

Rais wa Somalia ziarani Kenya

Kenya na Somalia zimeafikiana kushirikiana katika nyanja za usalama, elimu na miundombinu. Rais Mohammed Abdulahi Mohammed wa Somalia na Uhuru Kenyatta wamesema hayo katika Ikulu ya Nairobi.

Sikiliza sauti 02:34

Ripoti ya Alfred Kiti kutoka Nairobi

         

Sauti na Vidio Kuhusu Mada