Rais Mwinyi azungumzia kitisho cha corona, Zanzibar | Matukio ya Afrika | DW | 05.03.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Rais Mwinyi azungumzia kitisho cha corona, Zanzibar

Rais wa Zanzibar Dokta Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inakabiliwa na janga la virusi vya corona ambavyo vimeathiri afya za watu na uchumi wa nchi. Dr Mwinyi ambaye ni daktari wa binaadamu amekata kiu ya wananchi kwa tamko rasmi la serikali kuhusu ugonjwa huo uliopiga hodi toka februari mwaka jana. Mwandishi wetu Salma Said alituletea ripoti hii.

Sikiliza sauti 02:22