1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais kuhudumu kwa miaka saba Kenya - ripoti

15 Julai 2019

Ripoti ya awali ya Mikakati ya kujenga madaraja ya uwiano nchini Kenya inapendekeza rais kuhudumu kwa muhula mmoja wa miaka saba, waziri mkuu mwenye mamlaka na majimbo 14 ya utawala miongoni mwa mapendekezo mengine. Mikakati hiyo ilianzishwa baada ya rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa Upinzani Raila Odinga kuzika tofauti zao za kisiasa na kuapa kuunganisha wakenya.

https://p.dw.com/p/3M5lL