Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Rais Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu wa zamani nchini Kenya Raila Odinga, wamezindua rasmi leo ripoti ya maridhiano, maarufu BBI inayolenga kuwapatanisha Wakenya wote bila kujali makabila yao. Zaidi tazama video hii ya Thelma Mwadzaya.
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3kSh8
Kenya imeongeza muda wa utekelezaji wa hatua za kukabiliana na virusi vya Corona hadi Machi 12 mwaka huu, huku shule zote nchini humo zikifunguliwa kwa mara ya kwanza tangu kufungwa mwezi Machi mwaka uliopita.
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Kiongozi wa Chama cha ODM Raila Odinga wamezindua zoezi la ukusanyaji wa sahihi kwa lengo la kuunga mkono ripoti ya Maridhiano ya taifa-BBI.
Rais Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu wa zamani nchini Kenya Raila Odinga wamezindua rasmi ripoti ya maridhiano, maarufu BBI inayolenga kuwapatanisha Wakenya wote bila kujali makabila yao.
Rais Uhuru Kenyatta amekanusha madai kuwa atawania kipindi cha tatu baada ya kukamilisha muhula wake wa pili na wa mwisho kulingana na katiba ya Kenya.