Raila Odinga ataka serikali ya mpito Kenya | Media Center | DW | 08.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Raila Odinga ataka serikali ya mpito Kenya

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amependekeza kuundwa kwa serikali ya mpito ambayo itaongoza nchi kwa muda wa miezi sita, wakati katiba ikifanyiwa mabadiliko ili kupunguza madaraka ya rais. Odinga amesema tayari zipo dalili za mivutano itokanayo na mapungufu katika katiba iliyopitishwa mwaka 2010.

Tazama vidio 01:58
Sasa moja kwa moja
dakika (0)