Polisi aliyemuua mwandamanaji ahukumiwa DRC | Matukio ya Afrika | DW | 27.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

maandamano DRC

Polisi aliyemuua mwandamanaji ahukumiwa DRC

Mahakama ya kijeshi kaskazini magharibi mwa DRC imemhukumu kifungo cha maisha jela afisa wa polisi aliyefyatua risasi na kumuua mmoja wa wandamanaji wanaompinga rais Joseph Kabila. Polisi mwingine kufikishwa mahakamani.

Sikiliza sauti 02:33

Ripoti ya Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa

     

Sauti na Vidio Kuhusu Mada