Poland inataka kuchukua jukumu zaidi nchini Afghanistan | Habari za Ulimwengu | DW | 02.01.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Habari za Ulimwengu

Poland inataka kuchukua jukumu zaidi nchini Afghanistan

WARSAW:

Waziri wa mashauri ya kigeni wa Poland-Bodgan Klich amesema kuwa nchi yake itakubali kuwajibika zaidi ikitoa msaada wa kijeshi nchini Afghanistan.

Waziri amesema hayo katika mahojiano na gazeti moja nchini mwake.Kwa mujibu wa gazeti hilo Poland inataka kuchukua jukumu zaidi katika mkoa wa Afganistan wa Paktika unaopakana na Pakistan.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com