Papa Francis aiomba radhi Rwanda | Media Center | DW | 21.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Papa Francis aiomba radhi Rwanda

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis aiomba radhi Rwanda; Shirika la Upelelezi la Marekani, FBI limekiri kuwa linachunguza uwezekano kama timu ya kampeni ya Rais Trump ilishirikiana na Urusi; na Wagombea wakuu wa urais Ufaransa washiriki mdahalo wa kwanza wa televisheni.

Tazama vidio 02:07
Sasa moja kwa moja
dakika (0)