1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Othman Masoud anauzungumziaje wadhifa wake mpya?

1 Machi 2021

Sudi Mnette amezungumza na makamo mpya wa kwanza wa rais wa Zanzibar, mtu ambae mara zote ametajwa kuwa na misimamo isiyoyumba, Othman Masoud Othman. Ameshika wadhifa huo baada ya kifo cha aliyekuwa makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad mwezi uliopita. Sikiliza

https://p.dw.com/p/3q4Eo