Odinga asisitiza ataapishwa rais | Matukio ya Afrika | DW | 26.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Kenya

Odinga asisitiza ataapishwa rais

Wataalamu wa muungano mkuu wa upinzani NASA wameweka bayana kuwa wanazo hati zinazothibitisha kuwa Raila Odinga ndiye aliyepata kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa Agosti mwaka uliopita, uliompa ushindi Kenyatta.

Sikiliza sauti 02:36

Ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi

             

Sauti na Vidio Kuhusu Mada