1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Odinga apokelewa kwa gesi ya kutoa machozi

Daniel Gakuba
17 Novemba 2017

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amerejea nchini Kenya akitokea Marekani. Maelfu ya wafuasi wake wameteremka mitaani kumpokea, lakini wakatawanywa na mabomu ya kutoa machozi yaliyorushwa na polisi kuwazuia kuingia mjini kati.

https://p.dw.com/p/2nphx