Oba Ewuare: Mfalme aliyeleta shaba mji wa Benin | Asili ya Afrika | DW | 23.12.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Asili ya Afrika

Oba Ewuare: Mfalme aliyeleta shaba mji wa Benin

Hata baada ya karne tano kupita tangu utawaa wake, Oba Ewuare bado anakumbukwa Benin. Anakumbukwa kwa kuupanua ufalme wa Benin, kuendeleza sanaa na kuimarisha uchongaji wa vichwa vya shaba ambavyo hii leo ni maarufu kote ulimenguni.

Tazama vidio 02:50